Kipushi

localite, mji mkuu wa eneo la jimbo la Haut-Katanga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kipushi ni mji wa mkoa wa Lomami Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na mpaka wa Zambia[1].

Idadi ya wakazi ni 132,861 (2012).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. National Geographic Atlas of the World: Revised Sixth Edition, National Geographic Society, 1992

Marejeo hariri

  • Höll, R., Kling, M., and Schroll, E., 2007, Metallogenesis of germanium - A review: Ore Geology Reviews, v. 30, p. 145-180.

11°45′45″S 27°15′00″E / 11.76250°S 27.25000°E / -11.76250; 27.25000

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kipushi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.