Kiputai ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waputai. Idadi ya wasemaji wa Kiputai imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Waputai wengi wamekuwa hubadilisha lugha yao na kuongea Kikanuri badala ya Kiputai. Kwa hiyo lugha ya Kiputai imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiputai iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiputai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.