Kira ni mji wa Wilaya ya Wakiso, nchini Uganda, wenye wakazi takribani 317.157 (sensa ya mwaka 2014[1]). Kwa sasa ni mji wa pili nchini kwa wingi wa wakazi.

Barabara ya Kira,Uganda


Majiranukta: 00°23′50″N 32°38′20″E / 0.39722°N 32.63889°E / 0.39722; 32.63889
Nchi Uganda
Mkoa Kati
Wilaya Wakiso
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 317,157

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: