Kisajau (pia Kisajau-Basap) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasajau kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisajau imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisajau iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisajau-Basap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.