Kisamba-Leko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamba-Leko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.