Kisar ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wasar. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisar imehesabiwa kuwa watu 183,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisar iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.