Kiseget ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseget. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiseget imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiseget iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseget kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.