Kisena ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wasena. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisena imehesabiwa kuwa watu 1,340,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisena iko katika kundi la N40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisena kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.