Kishwai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Washwai. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kishwai imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishwai iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishwai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.