Kisidi

Lugha ya Kibantu iliyozungumzwa India na Pakistan

Kisidi (pia hujulika kama Kihabsi yaani Kihabeshi) ilikuwa lugha ya Kibantu iliyotokea nchini India, chimbuko lake likiwa ni Kiswahili.

Iliripotiwa kuwa Wasidi walikuwa wanazungumza lugha hiyo hadi katikati ya karne ya 20 huko Kathiawar, Gujarat[1].

Marejeo hariri

  1. Whiteley, 1969, Swahili: The Rise of a National Language