Kisimba ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasimba. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kisimba imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisimba iko katika kundi la B30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisimba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.