Kisiwa cha Ekinyang
Kisiwa cha Ekinyang ni kisiwa cha kaunti ya Marsabit, kaskazini mwa Kenya.
Kinapatikana katika ziwa Turkana.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Ekinyang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |