Kisiwa cha Goziba
Kisiwa cha Goziba ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Muleba, mkoa wa Kagera, kaskazini mwa Tanzania.
Kinapatikana katika ziwa Victoria, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Goziba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |