Kiteke-Laali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wateke. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Laali imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Laali iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Laali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.