Kitemne (au Kitimne) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Watemne. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitemne imehesabiwa kuwa watu 1,230,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemne kiko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitemne kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.