Kitgum ni mji mkuu wa Wilaya ya Kitgum nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 52,900.

Ramani ya Kitgum,Uganda
Wananchi wa Kitgum,Uganda


Kitgum
Kitgum is located in Uganda
Kitgum
Kitgum

Mahali pa mji wa Kitgum katika Uganda

Majiranukta: 03°17′20″N 32°52′40″E / 3.28889°N 32.87778°E / 3.28889; 32.87778
Nchi Uganda
Mkoa Kaskazini
Wilaya Kitgum
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 52,900

Tazama pia hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: