Kitsaukambo (au Kitsakwambo) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Watsaukambo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitsaukambo imehesabiwa kuwa watu 780. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitsaukambo iko katika kundi la Kiok.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsaukambo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.