Kitunguu saumu
(Allium sativum)
Mimea ya kitunguu saumu
Mimea ya kitunguu saumu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama manyasi)
Familia: Alliaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Jenasi: Allium
L.
Spishi: A. sativum
L.

Kitunguu saumu au kitunguu thumu (kwa jina la kisayansi Allium sativum) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa mahali pengi duniani.

Hata kama “sativum” inamaanisha “ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini inatokana na mashamba na bustani. Jamaa yake ya pori ni A. longicuspis. Matunguu ya saumu hayako chini ya ardhi tu; mengine humea juu ya shina.

Kitunguu saumu kitiba kina matumizi mbalimbali. Kitunguu saumu kinatibu maradhi arobaini (40). Maradhi hayo kwa uchache ni kama yafuatayo: shinikizo la damu, baridi yabisi, kuondoa sumu mwilini, kisonono, minyoo, bawasiri, maradhi ya mgongo, kichocho, malaria, homa za matumbo na kadhalika.

Kwa mfano, kwa maradhi ya tumbo unatumia mbegu saba kwa kumeza au kutafuna kwa muda wa siku 11-15; kwa uwezo wa Mungu unaweza kuondokana na tatizo hilo.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu saumu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.