Kiurhobo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waurhobo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiurhobo imehesabiwa kuwa watu 546,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurhobo iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiurhobo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.