Kiurigina ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waurigina. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiurigina imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurigina iko katika kundi la Kimadang.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiurigina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.