Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(Elekezwa kutoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Kambarage Nyerere)
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DAR, ICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere English: Julius Nyerere International Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: DAR – ICAO: HTDA – WMO: 63894 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Dar es Salaam, Tanzania | ||
Kitovu cha | |||
Mwinuko Juu ya UB |
182 ft / 55 m | ||
Anwani ya kijiografia | 06°52′41″S 39°12′10″E / 6.87806°S 39.20278°E | ||
Tovuti | |||
Ramani | |||
Mahali pa uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
05/23 | 3,000 | 9 843 | Lami |
14/32 | 1,000 | 3 281 | Lami |
Takwimu (2017) | |||
Idadi ya abiria | 2,385,456 | ||
Harakati za ndege | 75,240 | ||
Tani za mizigo | 22,014 |
Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa nchi.
Abiria 2,385,456 walipita humo mwaka 2017.
Kuna barabara kubwa kwa ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.
Tarehe 1 Agosti 2019 ilifunguliwa terminal ya 3 kwa ajili ya safari za kimataifa[1].
Tanbihi hariri
- ↑ "Dar Es Salaam Airport Inaugurate New Terminal 3". TanzaniaInvest (kwa en-US). 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-01-06.
- ↑ https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
- ↑ https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
- ↑ 4.0 4.1 "Air Tanzania resumes Harare / Lusaka service from late-Feb 2019". Routesonline. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 January 2019. Iliwekwa mnamo 2019-01-11. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=
(help) - ↑ Liu, Jim. "Air Tanzania expands domestic network offering from April 2019". Routesonline. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 April 2019. Iliwekwa mnamo 16 April 2019. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-07. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 July 2019. Iliwekwa mnamo 29 April 2019. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help) - ↑ "Air Zimbabwe (UM) #438 ✈ FlightAware". Flightaware.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 April 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=
(help) - ↑ 2017, UBM (UK) Ltd. "Oman Air S17 changes as of 09MAR17; Singapore suspensions". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 September 2017. Iliwekwa mnamo 30 May 2017. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help) - ↑ "PrecisionAir - Home". Precisionairtz.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 April 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=
(help) - ↑ "Istanbul New Airport Transition Delayed Until April 5, 2019 (At The Earliest)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 February 2019. Iliwekwa mnamo 27 February 2019. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help)
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)