Kiwè-Kaskazini (pia Kiwobé) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawè. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwè-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 156,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwè-Kaskazini iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwe-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.