Kiwojenaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wawojenaka. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiwojenaka imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwojenaka iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwojenaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.