Kiyasa ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wayasa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyasa imehesabiwa kuwa watu 1490. Pia kuna wasemaji wachacha nchini Guinea ya Ikweta na Gabon. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyasa iko katika kundi la A30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.