Kiyeskwa (pia Kinyankpa) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayeskwa. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiyeskwa imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyeskwa iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyeskwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.