Kizumaya ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wazumaya. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kizumaya imehesabiwa kuwa watu 25 tu. Kwa hiyo lugha karibu imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizumaya iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizumaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.