Knut Hamsun (4 Agosti 185919 Februari 1952) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Norway. Hasa aliandika mashairi na riwaya. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Knut Hamsun (akiwa na umri wa miaka 31) mnamo 1890
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Knut Hamsun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.