Kofi Kinaata

Mwanamuziki wa Ghana

Martin King Arthur (alizaliwa 15 Aprili 1990) maarufu kama Kofi Kinaata ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka Ghana huko Takoradi . [1] [2] Anajulikana kwa muziki wake wa kufoka wa Fante na mtindo huru na kwa hivyo anajulikana kama Fante Rap God (FRG). [3] Kando na umahiri wake wa kufoka, amekua mwimbaji mzuri sana akichukua mkondo wa muziki wa highlife kwa kasi.

Kofi Kinaata
Kofi Kinaata

Kazi ya muziki hariri

Baada tu ya shule ya Upili, Kofi Kinaata alishiriki katika shindano la kurap la Melody FM (Kasahari) na kuibuka kama mshindi wa pili mwaka wa 2009. [4] Alitoa wimbo wake wa kwanza " Obi Ne Ba " mnamo 2011.

Marejeo hariri

  1. "Kofi Kinaata introduces himself from Ghana to the world". Graphic Showbiz. 20 March 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-02. Iliwekwa mnamo 9 May 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "I sing from the heart - Kofi Kinaata opens up on songwriting skills - MyJoyOnline.com". www.myjoyonline.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-05-20. 
  3. "Kofi Kinaata introduces himself from Ghana to the world". ghanaweb.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-02. Iliwekwa mnamo 15 September 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Kofi Kinaata Is A 'Fante Yaa Pono' – Wanluv The Kubolor | HypingGhana.com". www.hypingghana.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-17. Iliwekwa mnamo 17 August 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kofi Kinaata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.