Kostanso wa Aquino

Kostanso wa Aquino (alifariki 570 hivi) anakumbukwa kama askofu wa Aquino (Italia ya Kati) mwenye karama ya unabii kama ilivyoshuhudiwa na Papa Gregori I. Aliongoza jimbo hilo kwa miaka 25 hivi[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Gregory the Great noted the only certain dates of Constantius's life: he was already bishop of Aquino during the life of Saint Benedict, who died in 543; and he himself died during the papacy of Pope John III (561-574). Gregory also records his last prophecy: on his deathbed Constantius foretold that he would be succeeded by a muleteer and a washerman, after which Aquino would have no more bishops. The next bishop after him was his deacon, Andrew, who had once been a muleteer, and after Andrew, Jovinus, a former washerman. During his episcopacy Aquino was overrun by the Lombards. Many of the inhabitants were killed by the invaders, and many more died of a plague, and there was no-one left fit to be bishop, whereby Constantius's prophecy was fulfilled.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68530
  3. Martyrologium Romanum
  4. http://www.catholic.org/saints/f_day/jul.php
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.