Krispini na Krispiniani

Krispini na Krispiniani (walifariki Soissons, leo nchini Ufaransa, 25 Oktoba 286) walikuwa vijana Wakristo waliofanya umisionari kati ya Wagalia wakapata umaarufu kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Maximian[1].

Aert van den Bossche, Kifodini cha Wat. Krispini na Krispiniani.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 25 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.