Kumokoi Koitoboss ni kilele cha mlima unaopatikana nchini Kenya, mpakani mwa Uganda.

Una urefu wa mita 4,198 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri