Kwintiani, Denisi na wenzao

Kwintiani, Denisi na wenzao Juliani, Lucho, Paulo na wengineo 15 (walifariki 430 hivi) walikuwa Wakatoliki wa Afrika Kaskazini, ambao walifia imani sahihi wakati wa dhuluma ya Waario dhidi yao chini ya mfalme Huneriki wa Wavandali.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[1],

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.