Kyenjojo ni mji mkuu wa Wilaya ya Kyenjojo nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 20,000.

Ramani ya Kyenjojo,Uganda
Wananchi wa Kyenjojo wakijenga


Kyenjojo
Kyenjojo is located in Uganda
Kyenjojo
Kyenjojo

Mahali pa mji wa Kyenjojo katika Uganda

Majiranukta: 0°36′36″N 30°38′39″E / 0.61000°N 30.64417°E / 0.61000; 30.64417
Nchi Uganda
Mkoa Magharibi
Wilaya Kyenjojo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 20,000

Tazama pia hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: