Lanin ni mlima wa Andes katika nchi za Ajentina na Chile (Amerika Kusini).

Mlima Lanin

Urefu wa volkeno hiyo ni mita 3,776 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri