Laurent Karim Agouazi (alizaliwa Langres, Ufaransa 16 Machi 1984) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Ufaransa na Algeria ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya akiba ya Metz. Hadi Kufikia Juni 2016 alishinda mechi mbili za timu ya taifa ya kandanda ya Algeria.[1]

Kazi hariri

Agouazi alianza uchezaji wake na klabu FC Metz na alikuwa mchezaji wa mkopo katika timu ya Championnat National Besançon RC kwa msimu wa 2004-05.

Kazi Yake Kitaifa hariri

Agouazi alizaliwa na baba kutoka Algeria na mama kutokea Ufaransa. Agouazi alistahili kuwakilisha Algeria na Ufaransa.[2]

Marejeo hariri

  1. "Metz : Laurent Agouazi vers Boulogne". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-21. Iliwekwa mnamo 2023-06-10. 
  2. Lamrek, Ramzi (21 March 2010). "Laurent Karim Agouazi : Respecter ceux qui ont joué la qualification" (kwa French). DZfoot. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 September 2012. Iliwekwa mnamo 21 May 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laurent Agouazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.