Leopold Stefan Ružička (13 Septemba 188726 Septemba 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mfumo wa dawa za kuwaua wadudu. Mwaka wa 1939, pamoja na Adolf Butenandt alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Leopold Ruzicka
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leopold Ruzicka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.