Liamine Zéroual (amezaliwa 3 Julai 1941) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 31 Januari 1994, hadi 27 Aprili 1999. Alifuatwa na Abdelaziz Bouteflika.

Raisi wa 6 wa Algeria
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liamine Zeroual kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.