Lidingö ni kisiwa na manispaa Uswidi, mpaka wa kaskazini karibu na Stockholm. Kuna wakazi 30,357 (mwaka 2005). Lidingö ina historia ndefu.

Mji wa Lidingö

Jiografia hariri

Eneo lake ni 12.54 km².

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lidingö kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.