Linus Pauling (28 Februari 190119 Agosti 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli kubwa, kwa mfano protini. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Tena, mwaka wa 1962 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

Linus Pauling
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linus Pauling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.