Lisa Naalsund

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Norway

Lisa Fjeldstad Naalsund (alizaliwa 11 Juni 1995)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei,ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Norwei.[3]

Naalsund mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Norway - L. Naalsund - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  2. "Lisa Naalsund". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  3. "Lisa Naalsund :: Manchester United :: Player Profile :: playmakerstats.com". www.playmakerstats.com (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Naalsund kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.