Liz Chicaje

(alizaliwa 1962), mhifadhi misitu ya mvua

Liz Chicaje Churay (alizaliwa mwaka 1982) ni kiongozi wa kiasili wa Peru ambaye amechangia kwa kiasi kikubwa ulinzi wa misitu ya mvua na mito katika eneo la Loreto kaskazini mashariki mwa Peru, kulinda haki za watu wa Yagua. Shukrani kwa juhudi zake, Alianzishwa Hifadhi ya taifa ya Yaguas mnamo 2018.Mnamo Januari 2019 huko Lima, alitunukiwa tuzo ya Franco-Ujerumani na mabalozi wa Ufaransa na Ujerumani kwasababu ya kupambania haki za binadamu.

Marejeo hariri