Lua ni lugha ya programu. Iliundwa na Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1993. Iliundwa ili kuumba mifumo ya uendeshaji na michezo ya video. Leo tunatumia Lua 5.3.5 . Ilivutwa na C++.

Lua
Lua-logo-nolabel
Shina la studio namna : inaozingatiwa kuhusu kipengee

namna nyingi

namna ya utaratibu

Imeanzishwa Januari 1 1993 (1993-01-01) (umri 31)
Mwanzilishi Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes
Ilivyo sasa Ilivutwa na: C++, CLU, Modula, Scheme, SNOBOL

Ilivuta: GameMonkey, Io, JavaScript, Julia, MiniD, Red, Ring, Ruby, Squirrel, MoonScript, C--Seed7

Mahala MIT License
Tovuti https://www.lua.org

Historia hariri

Ilianzishwa mwaka wa 1993 nchini Brazil. Lakini Roberto Ierusalimschy, Luiz Henrique de Figueiredo na Waldemar Celes walianza kufanya kazi kuhusu Lua mwaka wa 1992.

Falsafa hariri

Namna ya Lua ni ile inayozingatiwa kuhusu kipengee, namna nyingi na ya utaratibu.

Sintaksia hariri

Sintaksia ya Lua ni rahisi sana; inafananishwa na lugha za programu nyingine kama C#, Visual Basic au Java. Ilivutwa na sintaksia ya Modula, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Lua hariri

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

print("Jambo ulimwengu !")

Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.

function factorial(n)
  local x = 1
  for i = 2, n do
    x = x * i
  end
  return x
end

Marejeo hariri

  • Ierusalimschy, R. (2013). Programming in Lua (3rd ed.). Lua.org. ISBN 978-85-903798-5-0. (The 1st ed. is available online.)
  • Gutschmidt, T. (2003). Game Programming with Python, Lua, and Ruby. Course Technology PTR. ISBN 978-1-59200-077-7.
  • Schuytema, P.; Manyen, M. (2005). Game Development with Lua. Charles River Media. ISBN 978-1-58450-404-7.
  • Jung, K.; Brown, A. (2007). Beginning Lua Programming. Wrox Press. ISBN 978-0-470-06917-2. Archived from the original on 8 July 2018. Retrieved 7 July 2018.
  • Figueiredo, L. H.; Celes, W.; Ierusalimschy, R., eds. (2008). Lua Programming Gems. Lua.org. ISBN 978-85-903798-4-3.