Lucía García

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Uhispania

Lucía García Córdoba (alizaliwa 14 Julai 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania,ambae anacheza kama winga wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Hispania.[2]

García akiichezea Manchester United mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Lucía García | Player: Forward | Athletic Club's Official Website". www.athletic-club.eus (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  2. Asif Burhan. "Jorge Vilda Recalls Players Who Resigned Back Into His Spanish World Cup Squad". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucía García kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.