Lucie Milebou Aubusson


Lucie Milebou Aubusson, (alizaliwa 25 Februari 1957), ni daktari wa macho na mwanasiasa wa gaboni ambaye amekuwa Rais wa Seneti tangu tarehe 27 Februari 2015 hadi tarehe 30 Agosti 2023.

Lucie Milebou Aubusson
Lucie Milebou Aubusson
Lucie Milebou Aubusson
Rais
Tarehe ya kuzaliwa 25 Februari 1957
Alingia ofisini 27 Februari 2015
Aliondoka ofisini 30 Agosti 2023
Kazi Daktari wa macho

Maisha ya awali na elimu hariri

Aubusson alizaliwa tarehe 25 Februari 1957 huko Fougamou. Ana shahada ya uzamili (PhD) katika Tiba na Cheti cha Ophthalmology kutoka Chuo Kikuu cha Aix-Marseille nchini Ufaransa.[1]

Marejeo hariri

  1. "Lucie MBOUSSOU, née MILEBOU AUBUSSON, remplace Rose Francine ROGOMBE à la tête du Sénat". Amba Maroc (kwa French). 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucie Milebou Aubusson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.