Mérida (Kimaya: T'hó' au Ichkanzihóo) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Yucatán. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 730,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Mérida, Yucatán


Jiji la Mérida
Nchi Mexiko
Jimbo Yucatán
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 730,000
Tovuti:  www.merida.gob.mx
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mérida, Yucatán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.