Mabathoana High School

Mabathoana High School ni shule ya upili iliyopo katika mjii wa Maseru nchini Lesotho.

Jina la shule hii linatokana na jina la Mchungaji Emmanuel Mabathoana aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa Katoliki la nchini Lesotho [1]

Shule hii ina wanafunzi zaidi ya 600, mmoja ya wanafunzi walisoma katika shule hii ni Thabang Makwetla.[2][3]

Marejeo hariri

  1. Mda, Zakes (2012). Sometimes there is a Void: Memoirs of an Outsider. Penguin Random House South Africa. ISBN 9780143528586. 
  2. "Mabathoana High School". African Advice. Iliwekwa mnamo 2018-07-18. 
  3. "High Schools - Mabathoana High School - Maseru - Lesotho". SNJM. Soeurs des Saints Noms de Jésus et de Marie - SNJM.ORG. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2018-07-18.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mabathoana High School kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.