Maddalena Casulana

Mtunzi wa muziki wa Italia

Maddalena Casulana (1544 - 1590) alikuwa mtunzi wa muziki wa Italia, mpiga gitaa na mwimbaji wakati wa Renaissance.

Maddalena Casulana akipiga gitaa.

Maddalena ni mtunzi wa kike wa kwanza kuwa na kitabu cha miziki yake kilichochapishwa na kuhifadhiwa kama kumbukumbu ya muziki wa magharibi. [1][2]

Tanbihi hariri

  1. Thomas W. Bridges. "Casulana, Maddalena." In Grove Music Online. Oxford Music Online, http://www.oxfordmusiconline.com/subscriber/article/grove/music/05155 (accessed January 10, 2010).
  2. Alternative names: Madalena Casulana di Mezarii, Madalena Casula.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maddalena Casulana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.