Mafika Gwala

Mshairi na mhariri wa Kizulu wa Afrika Kusini

Mafika Pascal Gwala (amezaliwa 1946 karibu na Durban) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa alifanya kazi kama mwalimu na mshairi akiandika kwa Kiingereza na Kizulu.

Maandishi yake hariri

  • Jol'iinkomo (1977)
  • No More Lullabies (1982)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mafika Gwala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.