Magofu ya Kichokochwe
Magofu ya Kichokochwe (Magofu ya mji wa kale wa Kichokochwe) ni magofu yanayopatikana katika maeneo ya kihistoria yaliyohofadhiwandani ya wilaya ya Wete iliyopo mkoani Pemba kaskazini nchini Tanzania. Maeneo haya ni sehemu ya mabaki ya makazi ya Waswahili yakiwa na majengo kama Msikiti pamoja na Makaburi.[1][2]