Maimuna Mtanda

mwanasiasa kutoka tanzania

Maimuna Salum Mtanda (alizaliwa Januari 9, 1986), ni mwanasiasa Mtanzania akihudumu kama Mbunge wa Chama cha Mapinduzi kwa Jimbo la Newala Vijijini tangu Novemba 2020. [1]

Marejeo hariri

  1. "Wasifu Wa Wabunge". Bunge La Tanzania.